Ukiijua haki yako
Hauwezi Kudanganywa

Ukiijua haki yako
Hauwezi Kudanganywa

 

“Elimu ya haki ni kinga dhidi ya udanganyifu!”

 

“Elimu ya haki ni kinga dhidi ya udanganyifu!”

Karibu kwenye Haki zangu

Haki zangu ni jukwaa la rasilimali lilioundwa na AJISO  kwa lengo la kutoa elimu ya msaada wa kisheria na kuelezea haki ambazo kila mtu anapaswa kuzipata. kupitia jukwaa hili, utapata mwongozo wa hatua za kuchukua katika masuala ya kisheria.

Tunajali haki zako na tunataka kuhakikisha kila mmoja anapata msaada sahihi kwa changamoto anazokumbana nazo.

Machapisho ya hivi karibuni

Changia Ajiso

Ajiso imejitolea kutoa rasilimali za kisheria bure na kwa uhakika.
Mchango wako utatusaidia kuendeleza na kuimarisha jukwaa hili kwa wote.

Unaweza kutembelea sehemu ya "Jihudumie" kisha kuchagua mada unayohitaji kama mirathi, migogoro ya ndoa, au haki za watoto. Nyaraka zote zinapatikana katika mfumo wa PDF na unaweza kuzipakua bure.

Nyaraka hizi ni za msaada wa awali na elimu ya kisheria tu. Kwa matumizi rasmi au ya kisheria zaidi, tunashauri ushauriane na wakili au afisa wa AJISO aliye karibu nawe.

Hapana, tovuti hii iko wazi kwa watu wote. Lengo letu ni kuhakikisha kila mtu anapata maarifa sahihi kuhusu haki zake za kisheria bila vikwazo.

FAQ

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQs)

Sehemu hii inatoa majibu ya haraka kwa maswali ya kawaida kuhusu jinsi ya kutumia tovuti ya Haki Zangu. Watumiaji watajifunza jinsi ya kupakua nyaraka za msaada wa kisheria kama mirathi, migogoro ya ndoa, na haki za watoto.

No Posts Found!

Book Your Appointment

So our team can reach out to you on time